Kama uko high school na hujawai fanya the following things basi u - TopicsExpress



          

Kama uko high school na hujawai fanya the following things basi u r not serious... 1.Kuiba tsho,trauser au skirt. 2.Kudoz kwa lesson ya chem au mao. 3.Kupata E kwa mao au chem. 4.Kudodge a boring lesson. 5.Kuhighjak kwa line DH. 6.Kumiss dawns asubuhi. 7.Kutafuna papers den unachapa msee nazo unasema c ww. 8.Kuchora auto_book kutoka kwa gal/boy skul. 9.Ku copy assignment ya mao. 10.Kulala prep yote. which 1 do u or did u do??
Posted on: Tue, 23 Dec 2014 08:56:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015