Kama wewe ni mwananchi unayeamini kuwa mabadiliko katika jamii - TopicsExpress



          

Kama wewe ni mwananchi unayeamini kuwa mabadiliko katika jamii yaletwa na sisi wenyeywe wananchi basi usikose Baraza la Katiba la Change Tanzania tarehe 24 Agosti 2013. Thibitisha ushiriki wako mapema hapo chini ili uwahi nafasi hii adimu. Baraza hili la Katiba ni halali na limetambuliwa na kupata idhini ya Tume ya Katiba. Kama uko nje ya nchi unaweza pia kushiriki kupitia mitandao ya jamii (social media).
Posted on: Sun, 18 Aug 2013 13:48:21 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015