Kamwe sito jisifu kuzaliwa mjini au kuwa mtoto wamjini ILA - TopicsExpress



          

Kamwe sito jisifu kuzaliwa mjini au kuwa mtoto wamjini ILA nitajisifu pale nitakapoona nyumbani wanapata ugali na watoto wanaenda haja tena kwa nguvu zangu mwenyewe #via~ iwaz born to hustle#
Posted on: Tue, 09 Jul 2013 11:11:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015