Katika Amka na BBC asubuhi hii .... Polisi katika jimbo la Ohio - TopicsExpress



          

Katika Amka na BBC asubuhi hii .... Polisi katika jimbo la Ohio nchini Marekani watafuta miili zaidi baada ya wanawake watatu kupatikana wameuwawa na miili yao kufungwa kwenye mifuko ya plastiki. Zaidi ya watu alfu nne waachwa bila makao kutokana na mapigano yaliyozuka kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23. Mashambulizi yazidi katika rasi ya sinai na kusabisha vifo vya polisi watatu wa Misri. Kuna hofu kwamba washambuliaji wanatokea ukanda wa Gaza.
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 02:04:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015