Katika Dira ya Dunia TV leo , mbali na mengine, baada ya - TopicsExpress



          

Katika Dira ya Dunia TV leo , mbali na mengine, baada ya miaka miwili tu madarakani, rais mpya wa Zambia Michael Sata anashutumiwa kukandamiza upinzani na hata kunyanyasa waandishi wa habari. Zambia kwa muda imeangaliwa kama mojawapo ya ngome za demokrasia barani Afrika tangu kuanzishwa kwa msimu wa vyama vyingi katika miaka ya tisini. Si Zambia tu kwani na mataifa mengine Afrika yamefanya juhudi zake kuweka uongozi wa demokrasia kwa matokeo tofauti. Je unafikiri demokrasia imefanikiwa barani Afrika? Tazama Dira ya Dunia TV -kupitia Star TV TZ, QTV Kenya na Raga TV, DRC. Tweets @Kayira2000
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 14:10:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015