Kila mtu ana haki kuishi nairobi lakini kuna watu huharibia - TopicsExpress



          

Kila mtu ana haki kuishi nairobi lakini kuna watu huharibia Nairobi sifa. Watu wa kutoka mitaa ifuatayo,tafadhali kwa heshima na utu wenyu msirudi kufikiria mko Nai. -ruiru-juja-kiambu-kikuyu-kinoo-ruai-utawala-ngong-kitengela-kahawa west.-syokimau. -kamulu-thome/marurui-athi river-kiserian-matopeni-matasia-rongai.Na places zingine zote zenye: -lazma mlale kwa gari. -kabla gari iondoke stage kuna hawkers wanauza maji kwa dirisha. -gari inaenda hadi mnjauana na neiba next seat. -unaskia dere akisema "kwani ule mama tunachukuanga hapa leo amechelewa" ,"hatuna loose atachukua change kesho!" -watu wanajuana karibu wote kwa mat "unaona leo ulikua karibu kuachwa,jana ulienda na gani?". -kwenu hakujaandikwa waititu 4 governor. -abiria wanaambianga dere azime radio ati ndo waongee vizuri -stori za abiria haziishangi mpaka gari ikifika mwisho hawataki kutoka ati ndo waendelee kuongea. -98% ya abiria wanaongea vernacular WEWE UKO MASHAMBANI!! Na si ati juu kuna maflats na gari nyingi kumequalify kuwa Nairobi.
Posted on: Wed, 02 Oct 2013 07:39:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015