King love story (shm ya - TopicsExpress



          

King love story (shm ya 43) ................................................... Kiukweli sikuweza kumsamehe kwa kuwa nilikuwa na uchungu sana juu ya alichokifanya tena nilimwambia asijalibu kukanyanga nyumbani kwangu niliendelea na maisha yangu Alichoamua kufanya Anna alienda kwa wazazi wangu na kuwaeleza ali halisi ya maisha yetu yalivyokuwa na kuwaomba msamaha na kuwaambia wanibembeleze aludiane na mimi kweli ndocho mama yangu alichokifanya alinipigia sim na kunitaka nifike nyumbani kwake akadai anamaongezi na mimi nilienda adi kwa mama ilinibidi nimsikilize kile alichokuwa akiongea mama alianza kuongea na kunitaka nimsamehe Anna kwani amna binadam asiekosea na tuwe kama zamani ila tu niwe makini nae nilikuwa nikimsikiliza mama na sikumjibu lolote tena huku machozi yakinitoka mama alinifuta na kuniambia huuu ndo ukubwa na lazima niwe mvumilivu nikiwa kama mtoto wa kiume daa nilimuitikia nikawaaga ndugu zangu huyo nikaludi ostarbey mara usiku nakuta napigiwa sim na namba ngeni naongea na sim nasikia sauti ya anna nilimuitikia na kumuuliza anaitaji nini toka kwangu aliniomba akutane na mimk lakini nilikataa na kumwambia kwa sasa nnakazi nyingi sana alikubali ila mwisho wa siku anna alikuwa kwa dada yake wakaambiwa mama yao amedondoka ghafla yupo hospitali anna alifika kule na akanipigia sim kuwa yupo hospitali mama yake anaumwa mimi nilikuwa nyumbani nikamwambia nakuja nikaingia kuoga kubadili nguo na kuchukua gari na kwenda hospitali niliingia nikaelekezwa na nesi yupo chumba namba 3 nikaenda mpaka kule nikawakuta watu wengi sana kiasi ya kwamba sijategemea basi niliingia nikaweka juic mezani na kusalimia kisha nikakaa kidogo wakaelekezwa watu ndo wakanijua kumbe bick mwenyewe ndo huyu maana wakikuwa wakinisikia tuu na mwisho wa siku wakanifaham na ndo ndugu zake wengine wakaanza kusema yani huyo bick mwenyewe mdogo anna pia mdogo ndo walikuwa wanaishi pamoja duu aya hongera zao mi nikatoka nje nikaaa kidogo na anna kisha nikamuaga na kuondoka sasa kuna dada yake na anna aliekuwa anaishi sinza ndio alikuwa anaishi na anna akachukua namba zangu za sim na kunitaka kuongea na mimi niliitikia na kumwambia nitampigia badae unatakakujua maongez usikose ijayo .......Kiswakingi.....
Posted on: Wed, 13 Nov 2013 15:37:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015