Kipimo sahihi cha kupima kama unampendeza MUNGU au unamchukiza ni - TopicsExpress



          

Kipimo sahihi cha kupima kama unampendeza MUNGU au unamchukiza ni kusoma neno la MUNGU maana neno la MUNGU li hai na linayajua makusudi ya moyo pia neno la MUNGU lina pumzi ya MUNGU na hatuwezi kujificha kwenye neno la MUNGU. Hivyo kwa kusoma BIBLIA utajua kabisa uovu wako mfano utasoma kwamba uasherati, uchawi,ibada ya sanamu na ufisadi ni dhambi(wagalatia 5:19-21) hivyo utatakiwa kuacha uovu huo maana watendao matendo hayo wasipotubu hawataurithi ufalme wa MUNGU. Hivyo kwa kusoma BIBLIA utatambua uovu wako na ukiachana na uovu huo utakua umefanya jambo jema sana.
Posted on: Sun, 28 Jul 2013 05:42:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015