Kuna buda boss flani amekaa kwa bar 4 30mins na glass,halafu chali - TopicsExpress



          

Kuna buda boss flani amekaa kwa bar 4 30mins na glass,halafu chali ameunga akaingia na kukunywa stim yake,huyo msee akaanza kulia.huyo weider akamshow asijali juu ilikuwa tu ni joke atamsort na stim ingine na hapendi kuona msee mbigi akililia.huyo msee akasema hata si ivyo juu siku yake ilikuwa na swara kuruka,akaanza kumshow asubuhi,alilate kuamka,mdosi akamchuja works,akiteremka basement ya ofisi,ndae yake imesanywa,na makarao wakamruka,yeye kukosa ujanja akakwachu taxi,baada ya kulipa,wallet kumbe ilianguka kwa taxi.kufika home,akapata wife na shamba boy kwa bed.juu ya hasira si akaenda kwa clabu,na vile siku ilikuwa na stress,akifikiria kujiua,weider akaingia na kunywa stim yake(ilikuwa na poison).usitake ona vile huyo weider alipapatika..../moral ya hii stori ni,#what does not concern you,just live it alone.tafakari hayo...
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 09:56:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015