Kuna dada alichumbiwa na wanaume wanne 1, msanii 2, mvuvi 3, - TopicsExpress



          

Kuna dada alichumbiwa na wanaume wanne 1, msanii 2, mvuvi 3, mwindaji 4, doctor cku 1 dada huyo alienda kufua mtoni ghafla alitokea mamba akamchukua akamzamisha kwenye maji, palepale msanii akatunga wimbo akaanza kumwimbia, punde mamba akatokeza kichwa juu, ndipo mwindaji akampiga risasi mamba akafa na dada alibaki anatapatapa ndani ya maji , papo hapo mvuvi akaogelea kwenda kumuokoa na kumtoa kwenye maji, pale ndipo doctor alipomtibu majeraha mpaka akapona. je? wana fb nani kati ya hao wanne anayestahili kumtoa dada huyo? NAOMBA MAONI YENU..
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 03:50:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015