Kwa wale wafugaji wa mbwa au waliofatilia tabia za mbwa ngoja - TopicsExpress



          

Kwa wale wafugaji wa mbwa au waliofatilia tabia za mbwa ngoja tubadilishane mawazo kidogo mbwa wako anapokuwa na nja hulalamika na kupiga kelele au kuonyesha ishara kuwa anataka chakula basi mhusika huandaa chakula na kumpatia mbwa kama huwa uko makini mbwa hushukuru sana kwa ishara na huanza kula sasa hebu jaribu kufanya kama unataka kukichukua tena kile chakula ambacho umempa kwa upendo je matokeo huwaje? Je ni kwanini huwa hivyo? Je binadamu tukoje kwa mfano huo ? Je mbwa ana akili kuliko sisi kwa mfano huo? Je kiutamaduni wa nchi yetu unalinganishaje mfano huo ? Karibuni hii ni wazo baada ya kuamka saa saba usiku na kukosa usingizi
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 22:46:36 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015