Kwakweli 100%asiyetambua au kukumbuka musaada wa Kaseja toka - TopicsExpress



          

Kwakweli 100%asiyetambua au kukumbuka musaada wa Kaseja toka alipojiunga na simba mwaka 2003 akitokea Moro united atakuwa hana utofauti na mwendawazimu asiye jielewa na hata simba yenyewe haitakii mema siwez kubaliki jambo hili lakipuuzi coz siyo la kiungwana amefanya makubwa nabado angeendelea kufanya hivyo kwa moyo wake wote kuachilia mbali na kuwa ni kazi yake yeye mwenyewe ni mpenzi wa simba kama Ngasa jangwani anavyoipenda.
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 13:23:32 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015