LETS ACT NOW, AND WELL NEVER COME BACK Kupitia Waziri wake wa - TopicsExpress



          

LETS ACT NOW, AND WELL NEVER COME BACK Kupitia Waziri wake wa Afrika Mashariki Bw. Samuel Sitta Bungeni jana, Tanzania imesema haitashiriki katika vikao vya Jumuia ya Afrika Mashariki kuanzia jana Jumatano October 30, 2013. Sitta alisema hayo jana kufuatia wabunge kuwa mbogo kuhoji sababu ya Tanzania kuendelea kuhudhuria visivyo na tija kwake. Sitta pia alisema wameshaanza kuchukua hatua zingine kujitoa kabisa EAC.
Posted on: Thu, 31 Oct 2013 04:19:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015