LIFE QUOTEZ.. 1.hata simba na ukali wake utiwa mimba....kuwa - TopicsExpress



          

LIFE QUOTEZ.. 1.hata simba na ukali wake utiwa mimba....kuwa mpole! 2.hata huwe maskini au tajiri...kuzeeka nlazma! 3.hata upande chopper au rangerover chooni tutaenda kwa miguu sote! 4.hata huwe na shamba kubwa namna gani....kaburi ni 6 feet! 5.hata uitwe mheshimiwa miaka yote ukifa jina ni marehemu sisi wote! 6.hata huwe mwizi namna gani...huwezi ukaiba wakati 7.hata ule kuku na mwenzako ale githeri chooni tofauti ni rangi na kilo 8.Hata uwe mrembo n mi kiatu sote 2taliwa na mchwa 9.Hata ka ukigonjeka unatibiwa outsid de country kifo hakitambui 10.Hata huwe mrefu aje huwezi ona kesho
Posted on: Sat, 31 Aug 2013 16:23:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015