MSIKILIZAJI LEO KATIKA MIWANI YA MAISHA MIONGONI MWA YALE AMBAYO - TopicsExpress



          

MSIKILIZAJI LEO KATIKA MIWANI YA MAISHA MIONGONI MWA YALE AMBAYO UTAYASIKIA NI PAMOJA NA:- Kituo cha Sheria na haki za Binadamu Tanzania kimesema kuwa kutokana na usiri mkubwa uliokuwepo ndani ya jamii inakuwa ni vigumu kugundua vitendo vya unyanyasaji na utumikishwaji wa Wasichana hali inayosababisha kukithiri kwa vitendo hivyo ndani ya jamii. Changamoto kubwa inyowakabili Wajasiriamali Wanawake hapa nchini ni tatizo la soko kutokana na Watanzania wengi kutopenda kuzithamani bidhaa mbalimbali zinatengenezwa hapa nyumbani na Wajasiriamali wadogowadogo. KWA HAYA NA MENGINE MENGI UNGANA NASI KUANZIA SAA NNE NA ROBO HADI SAA TANO KAMILI
Posted on: Sat, 23 Nov 2013 07:03:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015