Mbona madem wa campo wanajigamba ivi na maboy friend wao ni wasee - TopicsExpress



          

Mbona madem wa campo wanajigamba ivi na maboy friend wao ni wasee wa boda ata kushower ni once in a month. unacheki dem anatoka class na anataka kuenda tao.amesimama kando na road akipiga simu unadhani anacall msee ako na Range.ukikagotea instead ya kugoteka ye ni kuzungungusha tu iyo weaves imekaa kwa kichwa for 110 days. sasa we ka mwanaume utasimama hapo ukitaka kujua mbona ameignore salamu yako. ghafla bike inakam mbio na inasimama qiiiq. jo!unacheki kimwanaume kiblack kimeharakisha kidem mpaka unadhani msee ni bwana ya mtu. sa nauliza ivi, mbona wajidharau ivo vyote jameni.imagine we ni graduate na unaharakishwa na class 8 leaver wakati we unashow graduate kama wewe madharau. just juu ya kutaka kusave 20bob ya mat na bado unapigwa na baridi na afterward mkifika tao kwanza unapelekwa keja kulipa boda. unaskia aje ukiona huyo msee akitoa hizo nguo zote anavalianga na ye ndo ata kudrive? ata ajuangi story na fore play, yake ni kukulalisha na kutuanga vitu. na kesho yake unarudi class ukiomba watu asignment yao ndo u copy paste.nkt.acheni za ovyo ja
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 14:59:06 +0000

Trending Topics



class="stbody" style="min-height:30px;">
Cuánto gana Ricardo Echegaray por mes? NÚMEROS QUE NO
Did you know that the head office for British Airways in North
I used to bite my tongue and hold my breath Scared to rock the
Domestic Violence people is real. Sometime it is never seen on the
Sorrento back beach taken today , Sorrento Back
......HELP ME UNDASTND..... There are 3 things which are too
Interesant Postat de: Ovidiu Creanga | 23 aprilie 2011 Invierea
Some thoughts as we enter the holiday season ... It is important

Recently Viewed Topics




© 2015