Mchanganyi wa milio ya wanyama na unyande wa binadanu uliniamusha - TopicsExpress



          

Mchanganyi wa milio ya wanyama na unyande wa binadanu uliniamusha usiku kuu wa leo kwanzia mwendo wa saa sita unusu hadi saa saba unusu.Maswali yameibuka akilini mwangu,kwani ni siku ya kiama au nini?Nimejaribu kuwamusha jirani wangu lakini wapi?Mwisho mwisho nikagundua kuwa hayo yote ni ya furaha.Nimechungulia kwa mwanya ulioko mlangoni.Vijana wenye umri wa miaka kati ya 13 hadi 15 wanarukaruka kwa furaha.Kwani RAILA ametangazwa kuwa rais au kesi kuwashinda uhuruto huko ICC?Marafiki mnisaidie kabla sijahamia mashambani.Kwa sasa niko katika hali ya taharuki nikiwa mji wa Kapkatet katika jimbo la Kericho.
Posted on: Fri, 22 Nov 2013 22:47:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015