Mistari jamaa alichukua chips fungaama tumuite tu malaya.akaenda - TopicsExpress



          

Mistari jamaa alichukua chips fungaama tumuite tu malaya.akaenda nae kwa lodge.kufika malaya akavua nguo zote akaweka kabatini kisha akapanda kitandani.jamaaakashtuka kuona yule malaya ameweka bastola kitandani. Jamaa:hii nayo ni yanini jameni Malaya:wanaume wengine washenzi,wanakuvuruga usiku kucha alafu asubuhi wanakupa 2000/= pekee.zitakusaidia nini??? Jamaa:akatetemeka akaanguka chini kwa mshtuko na kupoteza fahamu. Malaya:akampekua akakuta mfukoni alikua na mia mbili tu..like hii page 4 more jokes => >>>>Mistari Za Mapoko wa Kuomba Ikuss
Posted on: Tue, 05 Nov 2013 20:46:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015