Mke na mume walijiunga facebook, kwakua walikuwa na ugomvi mzito - TopicsExpress



          

Mke na mume walijiunga facebook, kwakua walikuwa na ugomvi mzito ilibidi kila m1 atafute mchumba kwenye facebook, mke akamuomba urafiki mume bila kujua, mume akaanza kumtongoza bila kujua kuwa ni mkewe maana hawakutumia majina yao wala picha, wakakubaliana wakutane gest chumba no 103, mke akatangulia akijua ni mume mpya wakumliwaza mume nae akijua anaenda kupata vitu vipya, ile mume anagonga tu.... Ayaaah! salio langu limekata, tuma 500 nikumalizie stori!
Posted on: Tue, 10 Sep 2013 15:52:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015