Mualiko wa EID: Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu - TopicsExpress



          

Mualiko wa EID: Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya EID nyumbani kwetu, Nakutegemea kama Rafiki wa karibu, Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua magari ya Pugu kajiungeni shuka mwisho wa gari af panda vigari vya kwenda kisarawe teremka kwa Njovu, ukifika chukua bajaj mwambie akulete kwa mama Lujina kisha panda pikipiki mpaka Kisarawe social hall ukifika kuna baiskel mwambie akulete hadi Uwanja wa Fakhi, ukifika angalia mbele kuna msikiti pita kichochoro mbele utaiona shule ya msingi Ndama, Nyuma ya shule ndo kwetu Karibu Ndugu yangu
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 08:39:08 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015