Mwalimu: Kama Nikikupa Simu Moja halafu nikakupa nyingine Moja na - TopicsExpress



          

Mwalimu: Kama Nikikupa Simu Moja halafu nikakupa nyingine Moja na Nyingine Moja utakuwa na simu ngapi? Mwanafunzi: Simu Nne Sir. Mwalimu: No! Nisikilize kwa Makini kama nikikupa Simu Moja halafu nikakupa nyingine Moja na Nyingine Moja utakuwa na Simu Ngapi? Mwanafunzi: Simu Nne Sir. Mwalimu: No! Jamani Mitoto ya siKu hizi Ngoja niweke swali KwA Mtindo MwEnGinE baSi. Kama Nikikupa Chungwa Moja halafu nikakupa Jingine Moja na Jingine Moja utakuwa na Machungwa Mangapi? Mwanafunzi: Machungwa Matatu Sir! Mwalimu: Vizuri sana! Sasa kama nikikupa Simu Moja halafu nikakupa Nyingine Moja na Nyingine Moja Utakuwa na Simu ngapi? Mwanafunzi: Simu Nne Sir! Mwalimu: Hivi wewe kidudumtu, hivyo Nne ukaitoa wapi? Mwanafunzi: KwA sabaBu Nyumbani tayari nina Simu Moja, Mwalimu Ukijumlisha na hizo utakazonipa zitakuwa Nne Lazima! Nani Kakariri hapo? Kati ya Mwalimu na Mwanafunzi?
Posted on: Sun, 17 Nov 2013 14:07:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015