Mwezi mwema mtukufu, Karibu utawadia. Tumsifu mkunjufu. - TopicsExpress



          

Mwezi mwema mtukufu, Karibu utawadia. Tumsifu mkunjufu. Pia kumsujudia. Hakika yeye raufu. Kila tunokusudia. Tuisome mas hafu. Na sunna zake pamoya. Haya haya waumini. Wasia wangu natoa. Mitandao ya kuchart. Ni lazima tuiache. Tusivutane mashati. Ya msingi tuyafate Kwani mi sina bahati. Msiyamezee mate. Si ukubwa wa kabati. Ila mizigo michahe Haya haya waumini wasia wangu natoa.
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 04:32:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015