NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep - TopicsExpress



          

NAJIVUNIA KUWA MKIKUYU SABABU 1. Sijawahi ambia mtu keep change 2. Watu wakisherehekea mpira mimi najiulizanga hiyo uwanja inaweza toka plot ngapi? 3. Siwezi nunua Range rover kukiwa na Toyota (probox)......NEVER 4. Siwezi lipa choo kwa kanju afadhali ningoje hadi kwa nyumba 5. Siwezi nunua nyama kama hiyo butcher ina matumbo 6. Siweziweka simu airtime imezidi mbao ata ni vile bamba tano iliisha...Na wewe? 6. Cwezi enda kuwach ball nikiwa na ball 7. Siwezi peleka gari car wash kwangu kukiwa na maji.... 8. Siwezi nunua kitu bila kubargain first...... 9.hata kama kitu inauzwa 499 nipeane 500 lazima nidaishe change... 10.__________
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 13:58:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015