NI HISTORIA MPYA FACEBOOK TANZANIA ILE PART YA Babu Wa AnaloGia NA - TopicsExpress



          

NI HISTORIA MPYA FACEBOOK TANZANIA ILE PART YA Babu Wa AnaloGia NA MJUKUU WAKE CABLE FALLY PAIN ITAFANYIKA PALE KEKO KWENYE UKUMBI WA "DAR PEACE PARK" TAREHE 29 JUMAPILI HII KUANZIA SAA TISA MCHANA HADI SAA SITA USIKU YAANI DISCO KWA WATOTO WA MJINI NI KWA SANA TUU WALE TEAM NYAGI Mabala Ze Farmer, Emmanuel Karim, Sweke Sweke OG, WATACHAFUA MEZA HADI WEWE USEME BAAAASI TOA SUPORT YAKO KWA KUCHANGIA BUKU TANO TUU KWA NAMBA 0714269914. KARIBUNI SANA TUPENDANE KWENYE SHIDA NA RAHA HII NI PART YA WANAFACEBOOK WOOOTE NJOO WEWE NA YULE TUFANYE ILI NA LILE. NI BOOOOONGE LA PART ASEEEEE UKIKOSA BAAAAAAAAAASI KIINGILIO NI KINYWAJI TU HAKUNA LONGOLONGO. HATA WATU WA MIKOANI TOENI SUPPORT JAPO KWA MICHANGO TYU. GONGA LIKE KAMA UNAUNGA MKONO HOJA.
Posted on: Thu, 26 Sep 2013 12:13:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015