NINGEKUA RAIS Kwanza kabisa ningeanzisha revolution ili hata - TopicsExpress



          

NINGEKUA RAIS Kwanza kabisa ningeanzisha revolution ili hata vijiji viwe na polis station nimegundua taifa la kesho ndio chanzo kilichotufanya tusijikwamue toka mwanzo vingi vikwazo ningehakikisha navitilia mkazo ningeongeza salary na ahadi za kampeni ningetunza kwenye diary ili baada ya uchaguzi nisisahau kuhusu maendeleo ningechonga na wadau ningewashawishi wachina watupatie mafunzo ilimradi japo tuweze kutengeneza wembe japo vikombe tractor za majembe ili bibi kijijin aache kilimo cha jembe najua wazi kua vijana sio wazembe ila tu hawajapatiwa fursa ya kufanya kazi ningeondoa viwanda kati kati ya makazi ningeongeza vitanda kwenye wodi za wazazi ningekua Rais mngelala wazi wanafunzi wa bweni wangekula wali nazi na wa primary wangepata uji wa ulezi cheki machizi wako dawa wamesizi saa hizi wangekua job ningekua Prez Tz sanaa ya bongo ingekua juu sana na kwenye kampeni zangu ningechana #Nyaturu_Boyz
Posted on: Sun, 24 Nov 2013 12:11:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015