NISAIDIENI HILI: kuna jamaa mmoja mkazi wa unguja alikuwa anaishi - TopicsExpress



          

NISAIDIENI HILI: kuna jamaa mmoja mkazi wa unguja alikuwa anaishi London akawaambia wazazi wake wamuolee mke bac wazazi wake wakamuolea siku ya siku akatoka London ili aje akutane na huyo mke wake aliposhuka Air pot akamuona dada 1 mzuri akamtaman akamtongoza wakaenda guest wakafanya mapenzi, alipofika nyumbani ili amuone huyo mke wake wakamwambia kaenda sokon, baadae yule mke akarudi nyumbani kufika 2 jamaa akaambiwa huyo ndio mkeo jamaa akaona niyule yule dada aliye lala nae guest: sasa je mwanaume atamchukuliaje mkewe? Na mke atamchukuliaje mumewe? NA JE WALIZINI AU HAWAKUZIN? Toa maoni yako!
Posted on: Sat, 21 Sep 2013 04:51:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015