Naitwa John, nimekuwa katika ndoa kwa miaka mitano na nilikuwa poa - TopicsExpress



          

Naitwa John, nimekuwa katika ndoa kwa miaka mitano na nilikuwa poa financially. Hatukuwa na mtoto na yetu ilikuwa come we stay. Baada ya kufilisika miaka mitatu hivi iliyopita bibi alinitoroka na to make matters worse alikuwa anadate beshte yangu. Two months ago nilibahatika kupata job which is well paying and all of a sudden amejileta kwangu akidai alikuwa anajaribu kunitafutia job.... ndio nilimpenda na nampenda, baada ya dharau hiyo yote moyo unanisaliti, nisaidieni.......
Posted on: Mon, 02 Sep 2013 14:02:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015