Najiuliza tu SHERIA NI MSUMENO sasa ikatotea Brigedia wa jeshi - TopicsExpress



          

Najiuliza tu SHERIA NI MSUMENO sasa ikatotea Brigedia wa jeshi akavunja sheria za barabarani yani gari yake ikawa haina stika yoyote na bado ka over speed na ni gari binafsi isipokua yeye anaweza kua kavaa gwanda au hajavaa. JE TRAFIKI ANAWEZA KUMKAMATA NA KUMPELEKA KITUONI NA HATA AKALALA NDANI??? Pili, akifanya kosa la mitaani labda akapigana bar police wanaweza kumkamata wakamweka ndani!!! I submit it 4 discussion!!!
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 05:22:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015