Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa:. 1, Anayeulizwa jinsia - TopicsExpress



          

Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa:. 1, Anayeulizwa jinsia yake akasahau mpaka avue nguo ajiangalie, 2: Aliyekuwa anasafiri alipofika stendi akasahau anakwenda wapi, 3: Aliyeingia hotelini baada ya kukaa akasahau kama amekula au la, 4: Yule mwanafunzi aliyefika shule akasahau anasoma darasa la ngapi, 5: Yule binti wa send off aliyeambiwa na MC amtafute mchumba wake ukumbini ili amtambulishe akawa amemsahau, 6: Niyule mchezaji aliyeingia uwanjani baada ya mpira kuanza akasahau anachezea timu gani, 7: Au ni yule rais aliyekwenda kwenye mkutano wakati wa utambulisho akasahau yeye ni rais wa nchi gani.
Posted on: Thu, 17 Oct 2013 07:16:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015