Naomba nikwambie na unielewe ili isije kujirudia au nikakukosea na - TopicsExpress



          

Naomba nikwambie na unielewe ili isije kujirudia au nikakukosea na mimi,unapotuma msg na hujibiwi mpe mtu muda atajibu au pia kutokujibu inawezekana sijapenda msg yako. muda mwingine unapoona hujipiwi mtu anakuwa yupo online lakini ana vitu vingine au hakusaini out kwahiyo hawezi kukujibu. siyo kuchukua hatua za kunitukana mpaka familia yangu pasipo sababu. hii tabia ina kera sana sana umu usimtukane mtu na mimi kukujibu msg yako ni mapenzi yangu na siyo lazima. ivi wewe mi napokea request yako na muda huo huo unatuma msg unanipenda ivi ni kweli jamani au ni mapungufu ya kujiendekeza we unajuwaje kama mimi mwanamke kweli au picha unayoiona ndio mimi kweli. tuache ushetani wa kipuuzi
Posted on: Wed, 19 Jun 2013 09:11:58 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015