Natumai hujambo shabiki, vipi habari za leo? Dar , Arusha , - TopicsExpress



          

Natumai hujambo shabiki, vipi habari za leo? Dar , Arusha , Kigali, Kinshasa,Kampala, Bujumbura, Nairobi, Mombasa na kwingineko kote ambako sijataja KWENYE mashabiki wa BBC....Siku yako inakwendaje? Nairobi naona leo jua tamu kweli kweli, baada ya siku kadhaa za kibaridi kikali......... HUKO DRC KULIFANYIKA MGOMO WA WATU KUTOVAA NGUO WAKIDAI SERIKALI IMESHINDWA KUTIMIZA AHADI ZAKE.......JE MGOMO KAMA HUU UNAWEZA KUFANYIKA NCHINI KWENU KWELI ETI KUDAI SERIKALI ITIMIZE AHADI ZAKE? TAARIFA YENYEWE..................Baada ya kufanya mgomo wa kutovaa mavazi kwa zaidi ya mwezi mmoja, waumini wa dhehebu moja kaskazini mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo walikomesha mgomo wao na kuanza tena kuvaa nguo mwishoni wiki hii. watu hao wa dhehebu la Kitawala wanalalamika kuwa watawala wa sasa wanashindwa kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2011.....................
Posted on: Tue, 13 Aug 2013 09:01:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015