Naye Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais (Idara Maalumu na Vikosi vya - TopicsExpress



          

Naye Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais (Idara Maalumu na Vikosi vya SMZ) Haji Omar Kheir alisema hakuna sheria za nyara za Serikali kutokana na visiwa hivyo kutokuwa na wanyamapori wa aina hiyo, lakini wahusika wanaweza kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi ya Zanzibar iliopitishwa mwaka huu. (Waziri huyu anashika wizara nyeti mwisho ati kaishia Secondary School,Zanzibar acheni kupeana kazi kwa siasa wekeni watu wa kufanya kazi) zanzibarassembly.go.tz/haji_omar_kheri.php
Posted on: Thu, 14 Nov 2013 06:06:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015