Ndugu Wanaume wenzangu,especi ally wale mnaoamini kwamba Mwanamke - TopicsExpress



          

Ndugu Wanaume wenzangu,especi ally wale mnaoamini kwamba Mwanamke bila Pesa hawezi kuwa wa kwako na mko radhi mjitoe mpaka noti ya mwisho ili muwafurahishe Mademu zenu mkidhani kwa kufanya hivyo ndo hawataibiwa IMEKULA KWENU Mademu wa siku hizi wana mtindo wao mmoja mzuri sana,Ukidhani kijana uko peke yako kumbe mmepigwa Sagula-Sagula mko kama 20 hivi na demu huyu mmoja anawageuza Saccoss...Anawa pa ratiba mnajiona wote ndo wamiliki....Uta shangaa anatuma Meseji nzuriiii,Honey unajua hapa home nakosa uhuru kabisa,nimepata Nyumba maeneo ya Mikocheni Kodi laki 2 tu Bebi,If you want us to be free nisaidie nihamie.Na mtu mzima ukicheki kweli demu amekuektia kwamba kwao anabanwa kila ukitaka kumuona sababu 197 kumbe anapokukatalia wewe anaenda kuona Kipimajoto kingine kilichosaguliwa Ile meseji inatumwa kwa wale MADANGA 20.Kuna Option kwenye Simu inaitwa SEND TO MANY..Piga hesabu demu ana Sh ngapi,wote mnaona YES ngoja nilipe kodi ya Bebi tuwe na uhuru..KUDADEKI Unashangaa demu kamaliza chuo ndo kapata sehemu kajishikiza ananunua X-TRAIL..wewe kaboifurendi umefanya kazi miaka 8 unaendesha Bebi-Woka wanawake wa mjini Mpo???Acheni hii tabia,Meseji Moja kwa Hubby 20???Msitufanyi e hivyo jamani khah
Posted on: Wed, 20 Nov 2013 05:45:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015