Nmekaa zanGu napunGa moshi wa matakataka ya jalalan huku nimepauka - TopicsExpress



          

Nmekaa zanGu napunGa moshi wa matakataka ya jalalan huku nimepauka mara nkackia kwene redio kuna mahafali ya polic mGen rasmi ni MbunGe atawatunukia zawadi nkaona hl zal fasta nkakimbia kwa babu nkamwibia nguo za kipolic kesho yake nkatinGa bonge la suru nyeupe kama ya Pepe Kale na buti kubwa nkachomekea nkapga na kofia nkakimbilia uwanjan dah nkajichanGanya nao ukafika muda wa Gwaride dah yan wakisema mGuu pande mi najichanGanya mara nidondoke,mara nijambe nkacmama mara BriGedia akanchek akanfata akaamuru Gwaride lisimame BriGedia : wewe askar kituo Gan? Mim : ndio afande BriGedia :Hujanickia au Kiburi? Mim : Hapana Afande BriGedia: Umechukua mafunzo kambi gan? Mim : Ndio Afande,naipenda nchi yanGu BriGedia : Kitambulisho chako kiko wap? Mim : Anacho mama Afande kumbe kulkuwa na Tecno mfukoni ikaita kwa sauti kubwa dah wakajua mi c polic nlishanGaa nakula buti moja nkapepea hewani,cjatua chn nkapiGiwa rungu la machoni juu kwa juu yan ikawa ni mabuti ya hewani na virunGu vya mGonGoni,dah nkawa ctamaniki wakanvua nGuo nkabak na pensi colourless nkajifanya nimezimia wakaleta toroli wakaniwekamo nkackia BriGedia anasema kamzikeni kule makaburini mbwa huyo! Dah nmeruka toka kwenye toroli nmetoka nduki mpaka miGuu ikawa inafika kis0gon huku domo limevmba kama skonzi dah
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 07:53:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015