NmevurugwAaaaaaaaaaaaa............. We mkaka unaejiita Goodluck - TopicsExpress



          

NmevurugwAaaaaaaaaaaaa............. We mkaka unaejiita Goodluck Felix naomba heshima ifate mkondo wake mi sipo fb kwaajili ya kukwazana na watu sikujui hunijui inshrt n kwamba hatujuani sa nashangaa unavo nifata inbox nakunitukana bila sababu km niliku ignore huo ni uamuz wangu we mshamba nn mala Ooh! unajidai acha nijidai kipndi najikopesha ulikuwepo cpendi uchoko na watoto mchelemchele or unataka kupata umaarufu kupitia mm jipange dogo coz simaindishi mambo ya kixnge najiheshimu xo uctake kujifanya unanijua kiundan zaid akati ata jna nililopewa na wazaz wang hulijui. I hope tutakua tumeelewana Via: #Sipendi_uchoko
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 10:35:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015