Nyi watu mnasema ati mara ohh,benben anatumia weed,mara ati - TopicsExpress



          

Nyi watu mnasema ati mara ohh,benben anatumia weed,mara ati nimetoroka Mathare hsptl,kidogo kidogo ati komaa,mjinga ni wewe!! Nkt! Mnajua bangi ni nini kweli?? Mnasema dawa ya kulevya?? weh!!Mimi,ata sijui pombe utaste aje,wacha bangi!! Na tena am very sane,very normal,mimi ni vajo ata cjawai ona ikuss live-live!So,mnihurumie tu na msiniambie izo vitu mbaya mbaya,sawa?Juu iyo stry ata nataka msichana mreeeembo na mcha Mungu aje awe galfrnd wangu.Asiwe na miaka miiiiingi kama Homo Erectus,iyo sitaki.Alafu tenaaa,awe na uwezo wa kuniprotect kutokana na hao wasichana wengine wakubwa wananitongozanga hapa kwa inbox!Najua kunayo mmoja ntapata hapa sai tu,si ndiyo? Wacha nchague kwa comments sai.Maboy si tafadhali mkae kando kidogo ntawaita baadae,sawa?
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 13:08:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015