OK SASA NIWAPE MICHAPO YA LIGI KUU TANZANIA BARA NA TIMU ZAKE - TopicsExpress



          

OK SASA NIWAPE MICHAPO YA LIGI KUU TANZANIA BARA NA TIMU ZAKE MBILI SIMBA NA YANGA ZILIZO ANZISHWA MWAKA 1935 NA 1936 YAP TIMU konge na watani wakubwa wa jadi tuanzie na mwaka 1968 hapa ngoma ilikua pevu nailikua tarehe 1.6.1968 ilikua mechikali na yakukata nashoka simba wakiitwa sunderland jioni kweupe matokeo yakaishia Yanga 5-0 sunderland hapo mashabiki wakalala roho inauma kwel wayanga ilikua ful kipupwe ngoja nikujuze wafungaji Maulid dilunga dk.18(penat).43 Salehe zibwe dk.54.89 Kitwana manara dk.86 nihayo tu tukutane kesho katika histor za watani simba vs yanga
Posted on: Mon, 22 Jul 2013 20:56:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015