OMONDI: Sweetie, mimi unataka kuja kutembelea wewe leo. WAMBU: - TopicsExpress



          

OMONDI: Sweetie, mimi unataka kuja kutembelea wewe leo. WAMBU: Karibu sana my dear. OMONDI: Wewe ninaisii wapi? WAMBUI: (gives direction)...Uk ifika kwa main gate, sukuma gate na mguu halafu uingie. Halafu ukifika kwa mlango ya nyumba finya bell ya number 14 na elbow. Nitakufungulia. OMONDI: Sawa sweetie. But why am I using my legs and elbow? Si mimi unawesa kutumia mkono changu? WAMBUI: Aiiii! Kwani unakuja mkono mtupu?
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 12:08:43 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015