PHYSICS QN. PAPER 2 Usafiri wa Gongo la mboto unasumbua nawe upo - TopicsExpress



          

PHYSICS QN. PAPER 2 Usafiri wa Gongo la mboto unasumbua nawe upo ferry, umeamua kutembea kwenda mnazi mmoja ukapate gari lenye siti ugeuze nalo. Umepata siti umelipa double nauli, ile unafika Ferry anapanda mama mjamzito ambaye anakuja kusimama karibu kabisa na seat yako na abiria wote wamebanana wanakuangalia kama wanakusuta kwanini humpishi mama yule aliyekuwa kachoka mbaya. Mwisho unajistukia unampisha na unasimama kwa kuminywa mpaka Gongo la bomu!! (A) WHAT IS YOUR WORKDONE IN JOULES (B) CALCULATE KINETIC ENEGY LOSS (C) CALCULATE EFFICIENCY IN TERMS OF ENERGY OUTPUT VS INPUT (D) FIND THE DIFFERENCE OF POTENTIAL ENERGIES OF A PREGINANT WOMAN EXERTED ON THE SEAT OVER THAT OF YOURS (E) FIND TIME ELAPSED BEFORE YOU WALK TO MNAZI MMOJA AND DRIVE TO GONGO LA MBOTO (F) DEFINE THE WORD "KINDNESS" AND Differentiate it with generosity.
Posted on: Fri, 23 Aug 2013 11:57:35 +0000

Trending Topics



/div>
Diet Juju Breakfast: - Skim milk with 1 teaspoon of cocoa
Featured Author: DC Geiser DC Geiser was born in the
You want the truth about Duchenne Muscular Dystrophy? My good
CAN YOU HANDLE $150 EXTRA A DAY FOR AN HOURS WORK?? THATS WHAT

Recently Viewed Topics




© 2015