PLIZ NISAIDIENI..... Nilikutana na kadem flani tao nkakaingiza - TopicsExpress



          

PLIZ NISAIDIENI..... Nilikutana na kadem flani tao nkakaingiza box... nikakapeleka kejani kwangu tukule sapa 4 only one night... Sasa dem kufika kwangu..... akaswich off simu yake... hiyo night ikapita.. next day akabuy simcard nyingine. Sasa next day kufika.... dem akavaa short yangu akafua nguo... sasa i thot zitakauka aende... dem inafika 6 pm bado hana mpango wa kuenda.... Next day nikamuuliza kama ataenda.. akanishoo campo life ni freestyle... Haiya...!!! Sasa hii ni siku ya tano... bado dem hana mpango wa kutoka.. amebuy series kumi za kuwatch, ashapanga place nguo zake zitakuwa zikikaa akishabuy, mlango ukibishwa ni yeye anaenda kufungua.. sasa nimemwambia nataka kufika ocha, akanishoo nisikae more than a week coz ataboeka kukaa solo...Sasa nimepata hii text....hun ukitoka job uje na curtains turembeshe our house... Dem wa mine atakam the day after moro. Sitaki ampate... nifanye nini?
Posted on: Fri, 18 Oct 2013 14:59:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015