Rafiki yangu mpendwa alikamatwa na askari wa kupambana na magaidi - TopicsExpress



          

Rafiki yangu mpendwa alikamatwa na askari wa kupambana na magaidi ATPU akiwa ktk studio yake ya kuchapisha cd za kiislaam......... Amini usiamini walokuwa wakija kumchunguza wakijifanya kuwa wateja ni baadhi ya kina mama waliokuwa wakivalia NIQAB kumbe wanatumiwa na atpu..... Pia wanaume waliokuwa wakivaa kisuna wakiwa na ndevu nyingi ajabu ni miongoni mwa wale waliokuwa wakifanya ujasusi dhidi yake...... ALLAAHU AKBAR kumbe sababu kubwa ya kukamatwa kwake ni kuwa alikuwa akizichapisha CD za Shk Rogo..... Lakini alipopelekwa mahakamani akaandikiwa mashtaka ya kuwa yy ni mwanachama wa Alqaeda/Alshabaab....... Baada ya kuhangaishwa kwa mda mrefu ktk kesi,hatimae akapewa bond ya 1million(subuhaana-llaah) vifaa vyake hadi leo wamevizuia,wamekosa ushahidi dhidi yake na bila shaka huenda wakawa wana hila wanayoipanga..... Tumeenda kotini mpaka sasa tumekerwa..... Huyu bro wetu na wengineo wengi wanaonyanyaswa kwa sababu ya uislamu wao tu,twawaombea Allah awafanyie wepesi.
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 15:08:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015