Rais wa Gambia: Magharibi wanaua watu ovyo Rais Yahya Jammeh wa - TopicsExpress



          

Rais wa Gambia: Magharibi wanaua watu ovyo Rais Yahya Jammeh wa Gambia amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kufanya mauaji ya raia wasio na hatia katika nchi mbalimbali za dunia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Rais Jammeh aliyasema hayo wakati akiwahutubia wakazi wa eneo la pwani la magharibi ya nchi hiyo na kuongeza kuwa, vita vya nchi za Magharibi dhidi ya ugaidi ni vita dhidi ya raia wasio na hatia. Akiashiria mauaji ya ndege za Marekani zisizo na rubani na mauaji yanayofanywa dhidi ya watu wanaodhaniwa tu kuwa ni magaidi, Rais Jammeh amesema, kwa hakika Magharibi wanafanya mauaji ya raia wasio na hatia duniani. Aidha amesisitiza kuwa...
Posted on: Tue, 18 Jun 2013 10:51:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015