STOLEN MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME : Yaa kuna - TopicsExpress



          

STOLEN MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike? MUME : Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala MKE: Na lipstiki kwenye shati? MUME : Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetu MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali? MUME : Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi nyumbani MUME : Umesema nini wewe? MKE: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingizi! Muwe na mchana mwema hapo!
Posted on: Sun, 17 Nov 2013 10:46:21 +0000

Trending Topics



tyle="min-height:30px;">
essa musica representa os frango da academia que si acha mais e ai

Recently Viewed Topics




© 2015