STORY OF GROLY CHUWA LOVE STORY MTUNZI SMILE..sehemu ya - TopicsExpress



          

STORY OF GROLY CHUWA LOVE STORY MTUNZI SMILE..sehemu ya kwanza Groly ni kijana wa miaka 22 anaeishi mkoa wa moshi ktk familia 1 ya mzee chuwa ambayo inawatoto 4 groly ni mtoto wa mwisho ktkt familia ya mzee chuwa.groly ni kijana mpole mcheshi na mwenye hekima alikua anapendwa sn mtaani kwao na ata watoto pia.Alikua anapendwa sn na baba yke,groly Baada ya kumaliza elimu yake ya msingi lkn kwa bahat mbay akuchaguliwa kujiunga na sekondari groly alilia sn kwa uchungu.Lkn kwakua bba yke alikua anampenda sn,alimwambia usijali mwanangu utasoma kufeli mtihan icwe kikwazo kwako,ntakupeleka shule sawa kwa upole na unyenye kevu groly akajibu sawa baba....umeipenda basi gonga (like) au comment ilijue nn kilimpata groly pindi alipo pelekwa shule
Posted on: Tue, 12 Nov 2013 11:00:44 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015