Saingine me hukaa nkaanza kufkiria kwenye nlitoka nkaona kweli - TopicsExpress



          

Saingine me hukaa nkaanza kufkiria kwenye nlitoka nkaona kweli napiga hatua nono nono.. Zile enzi tulkua twaishia Sunday School kisha kabla twende tulikua twapewa kobole kama sadaka but Mungu ansamehe,me nliwa nabuy viazi afta service. Then tukifika Sunday School kuna zile nyimbo tuliwa twaimba kama hii stai sahau. " Simama Imara.. Simama Imara. Usiwe kama Ndege, si Popo.. Usiwe kama Ndege, si Popo si Mnyama" Hii ilkua yanibamba sana. Toa memories zako tuone nani mzee kati ya wote.
Posted on: Thu, 08 Aug 2013 18:29:06 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015