Siku hizi vijana wakikutana kwenye bas wanaanzisha uhusiano na - TopicsExpress



          

Siku hizi vijana wakikutana kwenye bas wanaanzisha uhusiano na hatimae huoana bila hata kuchunguzana vya kutosha, SIKIA HII Jamaa mmoja katka harakati za maisha alikutana na dada mmoja akampenda na wakakubaliana kuoana yule dada akamwambia yeye anatokea katka kijiji kimoja huko Swaziland jamaa aliporudi nyumban na kuwapa habar ya kupata mchumba wazaz wakampinga kwa madai ya kwamba hawez kumuoa mtu wa mbali na pia hajui historia ya maisha ya anakotoka lakin jamaa akakaidi wazaz wakanyoosha mikono,jamaa akafanya maandaliz akaondoka na yule dada mpaka huko kwao yule dada akmtambulisha kwa wazaz wake wakaridhia ma ndoa ikafungwa baada ya miaka2 yule dada akaugua na bahati mbaya akafariki sasa kumbe sheria za kijiji kile ni kwamba endapo mtu akiolewa au kuoa mtu wa nje mipaka ya kijijini kwao na mmojawapo kati ya hao waliooana akafariki basi anazikwa na yule mzima,nakwambia ilikuwa tafran jamaa alipambana lakin mwisho wa siku wengi walishinda na sheria ikafuatwa.TUCHUNGUZANE KWANZA JAMANI"GOODNIGHT".
Posted on: Sat, 07 Sep 2013 19:27:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015