“Sisi (NCCR) tulikurupuka, hasa Augustine Mrema, alipojiunga na - TopicsExpress



          

“Sisi (NCCR) tulikurupuka, hasa Augustine Mrema, alipojiunga na chama chetu tukamkabidhi wadhifa wa uenyekiti bila kuangalia athari za kuwa na mtu maarufu kuliko chama chetu,” - Mabere Marando Marando amesema kuwa Chama chake cha zamani cha NCCR-Mageuzi kilifanya makosa, kwa kukurupukia majina makubwa katika miaka ya mwanzo ya mageuzi, alisema hayo katika mkutano wa vijana chini ya mwamvuli wa ‘International Young Democrat Union (IYDU)’ ambapo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni mwanachama na Mkutano huo ulifanyika Tanzania chini ya uenyeji wa CHADEMA na kudhaminiwa na taasisi ya Konrad Adenauer Stiftung (KAS).
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 13:53:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015