Sometimes mi huthink venye heavn kutakua.. waah... lemmie give u a - TopicsExpress



          

Sometimes mi huthink venye heavn kutakua.. waah... lemmie give u a clue.. - Tutakuwa tunaoga na maziwa na asali - Huko hakuna mlima kila pahali ni.mteremko ata ukiteremka urudi bado nimteremko -Tutashinda da whole day tukinukia tumaua tuzuri - Ugali ni ya gold na na nyumba zimejengwa na mikate na blackforest ukiingia yako hutawai pata jaah - ma praise n worship yaani soo holy mpaka huko hakuna kwenda choo - Ma movie za lyf za watu.. - Mvua ni juice tamu - Turudushwe kama Adam na Eve tukae Ndethe - kukula matunda.. - Kuongea na mungu personally alafu anakuita myson/ daughter.. soo sweet Kwa shetani.... - Moto shetani skeleton na fork jembe kikubwa akichoma watu - Jayz kujitetea woooi saitani si mi nlikiabudu achana na mimi... - za shetani tu ni Pwabahahahahaha ga wewe sitaki kujua ata mimi nimrchomeka nkazoea - Naskianga ata ukichomeka hukufi soo imagin dat pain.. - Shetani kumanga tudame alafu anakarusha motoni... na kukata maboy engine anaroast... pliz Be saved it will be sooo bad to miss tha Heaven switness
Posted on: Thu, 08 Aug 2013 18:41:03 +0000

Trending Topics




© 2015