TANGAZO, TANGAZO- Wakaazi na wenyeji wote wa , Taita Taveta - TopicsExpress



          

TANGAZO, TANGAZO- Wakaazi na wenyeji wote wa , Taita Taveta kaunti mnaombwa kujitokeza kwa wingi kwa matembezi ya kupinga, kupiga vita dhuluma dhidhi ya-Watoto. Jinsi ilivyoarifiwa hapo awali, matembezi hayo yataanzia-Wundanyi Stage hadi kwa, DC. saa ni sa, 9.00 asubuhi. Kwa pamoja tutaweza. Kumbuka , Gavana Mrutu ndiye mgeni muheshimiwa. Baadae kutakua na kikao CC hole. Kosa ujikose. tupatane kesho panapo majaaliwa.
Posted on: Wed, 17 Jul 2013 18:38:27 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015