Tabia ya kupuuza ujumbe ni mbaya. Mgonjwa mmoja bubu alikua ICU - TopicsExpress



          

Tabia ya kupuuza ujumbe ni mbaya. Mgonjwa mmoja bubu alikua ICU anapumuliwa gesi(hospital O2),mchungaji akaja kumuombea. Akiwa anaomba gafla mgonjwa akachukua peni na kartasi akaandika ujumbe akampatia mchungaji. Mchungaji akakichukua kile kikartasi na kukiweka mfukoni na akaendelea na maombi, gafla mgonjwa akakata roho. Baada ya mazishi, mchungaji akasema nina ujumbe wa marehemu kabla hajafa. Akatoa kwa mbwembwe akampatia ndugu wa marehemu ili aisome. Iliandikwa hivi,umekanyaga mpira wa oxygen nakosa hewa. Baada ya hapo unadhani ilikuaje?
Posted on: Sun, 27 Oct 2013 12:13:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015